PayDay
PayDay Mwongozo wa kuanza
Hatua kwa hatua

PAYDAY GUIDE

Maelekezo ya Kujisajili PayDay

Anza kwa kugusa link hii hapa chini, kisha fuata hatua zote mpaka ukamilishe usajili wako.

Hakikisha upo sehemu ya kujisajili kwa simu au njia inayotakiwa ndani ya app.

Jaza namba yako ya simu kwa usahihi kama utakavyoelekezwa ndani ya PayDay app.

Bonyeza sehemu ya kutuma uthibitisho ili utumiwe confirmation code.

Angalia message zako za kawaida utaona confirmation code zimetumwa.

Ingiza confirmation code halafu gusa sehemu ya kuthibitisha ili kuendelea.

Ingiza promo code PAYDAY kupata bonus au ofa husika itakapoelekezwa.

Weka password yako: namba pamoja na herufi kubwa na ndogo, mfano Tanzania255.

Kubali terms and conditions kisha bonyeza sehemu ya kuendelea na usajili.

Ukikuta uthibitisho wa alama au symbols, zibonyeze kwa mpangilio unaotakiwa ili ukamilishe hatua hiyo.

Umefanikiwa kujisajili. Ingia ndani ya PayDay na uanze kutumia huduma.